Luke 24:31

31 aNdipo macho yao yakafumbuliwa, nao wakamtambua, naye akatoweka machoni pao. Hawakumwona tena.
Copyright information for SwhKC